Alhamisi , 1st Dec , 2022

Staa wa filamu na mziki Bongo Hamisa Mobetto amewajia juu baadhi ya watu mitandaoni wanaomdiss mtoto wake Dylan aliyempata na Diamond Platnumz wakizusha taarifa kuwa mtoto huyo ni wa Billnass. 

Picha ya Hamisa Mobetto, mtoto wao na Diamond Platnumz

Hamisa Mobetto amefunguka kusema hapendi mtoto wake kuongelewa midomoni mwa watu kwa sababu hawampi msaada wowote wa kulea na mama ndio anajua baba halisi wa mtoto.

Zaidi tazama hapa kwenye video Hamisa akielezea hilo.