Ijumaa , 19th Nov , 2021

Wakati baadhi ya mastaa wa kike Bongo kuwa kwenye trending ya kufanya 'surgery' kwenye miili yao mchekeshaji Hakika Ruben naye ameibuka kutaka kufanya jambo hilo ili kuwa kama Wema Sepetu.

picha ya Wema Sepetu na Hakika Ruben

Hakika anasema anataka kufanya 'Surgery' ya utumbo ili kupunguza tumbo na kutaka muonekano mwembamba kama Wema Sepetu aliyefanya hivyo miaka ya hivi karibuni.

Interview nzima akizungumzia hilo bonyeza hapa kutazama.