Jumanne , 26th Mar , 2024

Gigy Money anasema kwa sasa hana mazoea tena wala muda na Diamond Platnumz baada ya kuambiwa anamtaka kimapenzi na mwanamke wake.

Picha ya Diamond na Gigy Money

Gigy ameongeza kusema anamuona Diamond kama mwanaume wa kawaida tu na hafikii danga lake hata moja.

Zaidi tazama hapo chini kwenye video