Picha ya Diamond Platnumz
“Ukiniangalia mimi mitandaoni watu wanaweza wakawa wananiongelea sana na mtu mwingine hata simjui anaweza akaibuka akazusha kitu, akaongea uongo na akanitukana nawaacha. Wengine naweza kuwapiga barua za defamation lakini ndio hivyo”.
“Ukishakuwa Celebrity usichukulie vitu personal. Nikiamua kufunga watu nitafunga watu wangapi au kuwapiga barua nitawapiga wangapi” amesema Diamond Platnumz
Zaidi tazama hapa kwenye video Diamond Platnumz akizungumzia hilo.