Picha ya Denzel Trainer na Harmonize
Zaidi tazama hapa chini kwenye video Denzel Trainer akizungumzia suala hilo.
Mwalimu wa mazoezi Denzel Trainer ameshea comment yake juu ya alichokisema staa wa muziki nchini Harmonize kwamba usiruhusu mpenzi wako kwenda GYM peke yake kwa sababu atakutana na vishawishi vingi ambavyo huenda vikaharibu mahusiano yenu.
Picha ya Denzel Trainer na Harmonize
Zaidi tazama hapa chini kwenye video Denzel Trainer akizungumzia suala hilo.