Dance 100
Vijana wenye ndoto za kutoka kupitia uwezo wao wa kudansi, hii ndiyo nafasi yao ya kuingia katika usaili kwa utaratibu wa makundi ya watu watano hadi nane, kujihakikishia nafasi yao katika mchuano wa Dance 100% kwa mwaka huu.
Kuwa sehemu ya mashuhuda wa mchakato mzima wa mashindano haya makubwa ya Dance100% 2015 kwa kuibuka eneo la tukio pale TCC Club Chang'ombe na kumbuka mashindano haya hayana kiingilio kabisaa, usikose.