Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Chidi Benz na filamu ya maisha yake

Jumamosi , 26th Sep , 2020

Kama ulitazama show ya Friday Night Live ya East Africa TV siku ya Septemba 25, 2020 najua utakuwa umefurahia au kuburudika kwa kile kilichotokea na Suprise ambazo zimefanyika wakati show hiyo ikiendelea.

Msanii wa HipHop Chidi Benz

Walipita wasanii wengi kama Kayumba, Jumanne Iddi, Rasco Sembo, Barakah The Prince, Country Boy na Chidi Benz.

Kuhusu Chidi Benz ametoa taarifa maalumu baada ya mpenzi wake kumshauri kuachia filamu ambayo itakuwa inaonyesha uhalisia wa maisha yake na yote ambayo amewahi kuyapitia.

Akizungumiza hilo Chidi  Benz amesema "Jana mpenzi wangu ameniambia hivyo na tulikuwa tunajadiliana kuhusu hilo, akaniambia nikifanya filamu yangu itakuwa poa sana ila inatakiwa kupangwa vizuri ila sio kukurupuka maana itakuwa kama bangi".

Kingine Chidi Benz amesema watu wanatakiwa wawaheshimu sana baba zao hata kama waliwahi kuwakosea pia hakuna sababu yoyote kwa mtoto wa kiume kugombana na baba yake.

Zaidi mtazame hapa chini akifunguka kuhusiana na hayo.
 

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava