Picha ya Bob Junior na Wema Sepetu
Akimzungumzia Wema Sepetu kupitia na Planet Bongo ya East Africa Radio Bob Junior amesema
"Ni mwanamke wangu na mke wangu kabisa msitake kujua vitu vingi, mapenzi yetu si vyema kuyazungumzia sana ila wafaham ni mwanamke wangu pengine nitamposa".
Wawili hao wame-make headlines mitandaoni baada ya Bob Junior kupost video akiwa anam-kiss Wema Sepetu.
Zaidi tazama hapa kwenye video.