Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Bifu la Young Dee na Dogo Janja lafuka moshi

Jumamosi , 23rd Sep , 2017

Baada ya Rappa Young Dee kuomba asifananishwe na wasanii kama Dogo Janja kutoka Arusha na Young Killer wa Mwanza, Dogo Janja amesema hawezi kumjibu msanii huyo kwani hajui kama atakuwa anamjibu mtu mwenye akili timamu au tayari amekula unga.

Young Dee kushoto na Dogo Janja kulia

Kupitia kipindi cha eNewz ya EATV, Dogo Janja amesema kuwa Young Dee kuomba asifananishwe na msanii kama yeye ni sawa kwani hata yeye hataweza kukubali kufananishwa au kukaa na m tu anatumia dawa za kulevya kitu kinachomfanya we anazungumza vitu vya ajabu

"Young Dee ni Mteja, na hawezi kufanana na mimi. Mtu mwenye akili timamu hawezi kutukana kwenye media matusi makubwa kama alivyofanya Young Dee. Akiacha Unga ndo ninaweza kuzungumza kitu kuhusu yeye, kwa sasa hivi nikimzungumzia siwezi jua kama ntakua nabishana nayeye au mteja. Mtu mwenye akili timamu unamsamehe tu maana inawezekana kashavuta mambo yake na yupo kwenye dunia yake nyingine" Dogo Janja.

Dogo janja ameongeza, kuwa hakatai kufananishwa na mtu lakini inatakiwa aangaliwe ni mtu aina gani ambaye anafananishwa naye kwani si kila mtu ni sahihi kufananishwa nae.

"Mimi pia sipendi kufananishwa japo sijakataa kufananishwa, Young Killer mimi nilishawahi kuwa role model wake  kwa hiyo kufananishwa naye si kitu kibaya lakini kunifananisha na mla unga ni kukosea....... Young Dee akiacha kula unga tutakaa mezani kuzungumza lakini kufananishwa naye sasa hivi sitaki kwani ni mtu ambaye ukumuacha gheto unawaza kama utaikuta TV " amesisitiza.

Hivi karibuni Young Dee alifunguka na kutoa onyo kwa watu na watangazaji kuwa wasimfananishe na Ma Rapaa kama Dogo Janja na Young Killer kwani yeye anafanya mziki mkubwa huku akitoa maneno makali kuwalenga.

Tazama video hapa Chini 
 

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava