Jumatatu , 30th Jan , 2017

Msanii wa bongo fleva Ben Pol amesema hayupo tayari kuelezea sababu ya kuachana na mwanadada ambaye walifanikiwa kupata mtoto mmoja aliyepewa jina la Mali

Ben Pol

 

Akiongea kupitia eNewz Ben Pol amesema kwa sasa hayupo tayari  kabisa kuongelea swala la mwanamke ambaye kwa sasa wameachana  na hayupo tayari kumuelezea mtoto wake na endapo mtu yeyote atahitaji kufanya mahojiano kuhusiana na mtoto wake asubiri mtoto akue ili aweze kumuhoji kuhusiana na maisha yake.

Mtazame hapa:-........