Belle 9
Belle 9 amesema kuwa, baadhi ya mafanikio ambayo ameanza kushuhudia kwa haraka haraka ni kuchukuliwa katika uzito wake, simu za deals anazopokea, aina ya mahojiano ambayo anafanya sasa, kazi kubwa mbele yake ikiwa ni kushikilia na kuendeleza nafasi hiyo, akiwa sasa anasonga kama kampuni - Vitamin Music.