Jumanne , 14th Jul , 2015

Mke wa staa wa muziki wa nchini Uganda Bebe Cool, Zuena ambaye hivi sasa ni mjamzito hivi sasa yupo nchini Marekani na familia yake akijiandaa kujifungua siku si nyingi.

Mke wa staa wa muziki nchini Uganda Bebe Cool, Zuena Kirema Ssali

Zuena hivi sasa yupo na mwanae Caysan ambapo hivi sasa Mungu akimjalia basi atakuwa akiongeza jumla ya idadi ya watoto wa nne.

Mke wa msanii Bobi Wine, Barbie ambaye pia ni mjamzito anatarajia pia kujifungua muda wowote kuanzia sasa kutimiza familia ya watoto wanne.