Mtangazaji na Dj mkongwe wa kituo maarufu cha EA Radio Emsley Smith aka Baba T
Baba T leo hii amejumuika na wafanyakazi wenzake mjengoni kwa kuwalisha keki na kufurahi kwa pamoja katika kusheherekea siku yake hii muhimu, ameongea na enewz kuelezea furaha yake hiyo kubwa huku akiwatakia kheri ya kuukaribisha mwaka mpya watazamaji wa EATV na wasikilizaji wa East Africa Radio.