Waziri afanya uteuzi

Thursday , 7th Dec , 2017

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mh. Charles Mwijage amewateua wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Mbolea Tanzania TFC kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia Disemba 1 2017.

Uteuzi huo umekuja ikiwa ni baada ya Rais Magufuli kufanya uteuzi kwa Prof. Egid Beatus Mubofu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Mbolea Tanzania.

Aidha bodi hiyo inategemea kuzinduliwa tarehe 11 mwezi huu katika wizzara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dodoma

Majina ya Wajumbe wa Bodi waliochaguliwa haya hapa chini