Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Wazazi, chanzo cha watoto kukosa ubunifu

Ijumaa , 5th Feb , 2021

Ubunifu kwa watoto umeelezwa kukwamishwa na mambo matatu  ikiwemo  adhabu wanazopewa watoto mara kwa mara.

Watoto wakiwa wanacheza (Picha kutoka mtandaoni)

Akizungumza katika Kipindi cha Mamamia cha East Africa Radio Msaikolojia John Lyadunda amesema wazazi wengi huadhibu watoto mara kwa mara wakijuwa kwa kufanya hivyo wanawajenga ilihali wanawaharibu kwa kuwajengea hofu katika kujaribu mambo mabalimbali.

“Ubunifu wa mtoto unajengwa tangu mtoto akiwa mdogo, adhabu za mara kwa mara zinaua ubunifu wa mtoto, ili mtu awe na hali ya ubunifu lazima afanye makosa ya mara kwamara ili aweze kujitafuta na afanye kitu kitakachoonekana” amesema Lyadunda.

Pia ameongeza kuwa Katika malezi mtoto anapokuwa haaminika katika kila kitu anachofanya kinau uwezo wa mtoto  kujiamini katika mambo mbalimabali ili kumjenge uwezo wa kukomaa katika mambo anayoweza kufanya.

“mtoto anapokuwa haaminiki kwenye kila kitu anachofanya akinauua confidence yake, wazazi na walezi tumuamini mtoto kwa yale anayoyafanya atakama ni ya watoto” amesema Lyadunda

 

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava