Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Walioapishwa wapewa miezi 6 wakishindwa wanatolewa

Jumatatu , 1st Aug , 2022

Rais wa Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema alikuwa ameanza kupo amesema alikuwa ameanza kupokea malalamiko ya baadhi ya viongozi hata kabla ya kuwaapisha na kuwataka wajirekebishe na wakatimize majukumu yao walau kwa miezi sita, kwani wakifanya vibaya atawaondoa.

Rais wa Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Kauli hiyo ameitoa hii leo Agosti Mosi, 2022, mara baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali wakiwemo wakuu wa mikoa, makatibu tawala wa mikoa na wakuu wa mashirika, Ikulu ya jijini Dar es Salaam.

"Wengine wala mlikuwa hamjaapa tayari nina malalamiko yenu, chochote ulichokuwa unakifanya kajirekebishe, ili angalau basi upate miezi 6, 7, kwa sababu kama unafanya vibaya nilisema, sito-shout na mtu nitaondoa tu na kuweka mwingine," amesema Rais Samia

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava