Jumanne , 8th Oct , 2024

Wabunge nchini Kenya wamepiga kura ya kuridhia Naibu wa Rais nchini humo Rigathi Gachagua kuondolewa madarakani.

Naibu wa Rais Rigathi Gachagua

Jumla ya wabunge 281 wamepiga kura ya ndiyo wakitaka aondolewe madaraka na wabunge 44 pekee ndiyo waliopiga kura ya hapana

Gachagua anatajwa kuwa Naibu Rais wa kwanza nchini Kenya kupigiwa kura ya kuondolewa madarakani.