
Takwimu hizo zimetolewa leo Jijini Dodoma na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu wakati akitoa tamko la siku ya shinikizo la juu la Damu Duniani ambalo hufanyika kila tarehe 17.05 nakusema nisawa na kila wagonjwa 10 wanaoonwa na wataalamu wa Afya ni wagonjwa 6 wana ugonjwa wa Shinikizo la juu la damu.
Katika kipindi hicho ambacho takwimu hizo zinaonyesha wagonjwa wenye shinikizo la damu wameongezeka takribani mara mbili zaidi kwa kipindi cha miaka mitano kwa mujibu wa ripoti ya Health Statistical Bulletin 2022