Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Serikali yatoa miezi miwili

Jumatano , 23rd Aug , 2017

Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari, Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi amewataka wamiliki wa magazeti na majarida mbalimbali kufanya hima kuenda kujisali upya kuanzia leo kwani wasipofanya hivyo watashindwa kuendelea kuchapisha

Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari, Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi.

Dkt. Abbasi amebainisha hayo kwenye mkutano wake na waandishi wa habari na kusema endapo chombo chochote kitakaidi agizo hilo mpaka kufikia Oktoba 15 mwaka huu basi litakuwa linatenda kosa la jinai.

"Kuanzia leo hadi Oktoba 15 mwaka huu magazeti yote yahakikishe yanakuja kusajiliwa upya katika mfumo wa mpya wa utoaji wa leseni kwa machapisho yote. Mfumo mpya wa utoaji leseni ni muendelezo wa azma yetu ya kuifanya tasnia ya habari kuwa taaluma",alisema Dkt. Abbasi.

Pamoja na hayo, Dkt. Abbasi aliendelea kwa kusema "baada ya Oktoba 15 mwaka huu halitaruhusiwa gazeti au jarida kuendelea kuchapisha bila ya kuwa na usajili huu mpya wa leseni".

Mbali na hilo, Dkt. Abbasi amewakumbusha wanahabari ambao wapo chini kielimu kuhakikisha kwamba katika miaka mitano waliopewa wanafikia kiwango kilicho wekwa cha taaluma kwa wanahabari hao.

"Katika taaluma ya habari kwa wanahabari tumeweka miaka 5 wajiendeleze, wale ambao wapo chini ya Diploma wakajiendeleze", alisema Dkt. Abbasi.

Kwa upande mwingine, Dkt. Abbasi amesema kwa mujibu wa sheria vyombo vyote vitasajiliwa upya bila ya kujali kama ni jarida la Wizara au gazeti la serikali.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava