Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mtoto amfikisha Mahakamani Baba yake akidai urithi

Jumanne , 22nd Jun , 2021

Katika tukio ambalo sio la kawaida kwa mila na tamaduni zetu, mzee wa miaka 80 aitwaje Khalid Segereje Mkazi wa kijiji cha Mwamgongo mkoani Kigoma amefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya Kigoma na mtoto wake wa kumzaa ambaye anadai ampatie urithi wake.

Mzee Khalid Segereje (80), alipofika Mahakamani kwa ajili ya kusikiliza kesi aliyofunguliwa na mtoto wake

Mzee huyo amefikishwa Mahakamani hapo akifunguliwa shtaka la madai na mtoto wake aitwaye Abas Khalid kesi hiyo ya madai ya mirathi namba 8 ya mwaka 2021, ikiwa ni rufaa kutika Mahakama ya Mwanzo ya Kalinzi alipokuwa amefungua kesi hiyo awali na Mahakama hiyo kumpa ushindi mzee huyo hali iliyosababisha kijana wake kukata rufaa katika ngazi ya juu zaidi.

Kesi hiyo inasikilizwa na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo Kenneth Mutembei ambaye aliutaka upande wa mlalamikaji ueleze kwa nini yuko Mahakamni hapo hatua iliyoleta kigugumizi kwake na baada ya Hakimu kumsihi kwa muda akaeleza kuwa amelazimika kufungua kesi hiyo dhidi ya baba yake mzazi kutokana na kutokunufaika na mali ambazo zilikuwa za baba yake na mama yake ambaye tayari ameshafariki dunia na mzee huyo kuoa mwanamke mwingine ambaye ndiye anayenufaika yeye na watoto wake.

Wakili upande wa utetezi Thomas Msasa ambaye ameeleza kujitolea kumsaidia mzee huyo akiongea mara baada ya maelezo ya shauri hilo kusikilizwa amesema anaamini atasimamia vyema kuhakikisha haki ya mzee haipotei.

Hakimu Mutembei baada ya kusikiliza maelezo ya shauri hilo akatoa uamzi wa shauri hilo kuendeshwa kwa njia ya maandishi hivyo upande wa mlalamikaji watatakiwa kuwasilisha hoja zao kwa maandishi ifikapo 28 Juni 28 mwaka huu na huku upande wa utetezi ukitakiwa kuwasilisha majibu mnamo Julai 5 kisha 12 Julai pande zote mbili zitafika Mahakamani hapo kwa ajili ya kupangiwa tarehe ya hukumu.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava