Jumatano , 14th Apr , 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais Mheshimiwa Philip Isdor Mpango.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais Mheshimiwa Philip Isdor Mpango.

Taarifa ilivyotolewa na Ikulu ya Tanzania imeeleza kuwa mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwake Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo tarehe 14 Aprili, 2021.