Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Magufuli ataja kilichowaponza Kaliua

Jumatatu , 21st Sep , 2020

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli, amesema kuwa jana alipita Jimbo la Kaliua wananchi wakamlilia kuhusu suala la ujenzi wa barabara ya lami ambapo aliwaambia sababu kubwa ni kuwa walikosea katika kuchagua wawakilishi wao.

Mgombea Urais wa CCM Dkt John Magufuli.

Magufuli ametoa kauli hiyo leo Septemba 21, 2020, wakati akiomba kura kwa wakazi wa jimbo la Urambo mkoani Tabora, na kuongeza kuwa mradi wa maji ya kutoka Ziwa Victoria ukikamilika wilayani Urambo, atauhamishia Kaliua kwa kuwa anaamini mwaka huu hawatakosea.

"Uongozi haujaribiwi Kaliua walijaribu waliyaona katika miaka mitano iliyopita, nilifika pale jana wakaanza kuniambia barabara ya lami, barabara ya lami, kwani hamkuwaona hao mliokuwa mnawachagua, hayo ndiyo makosa makubwa yanayoweza kufanywa na wapiga kura", amesema Dkt Magufuli.

Aidha Dkt Magufuli ameongeza kuwa, "Nataka wananchi wa Tabora waanze kuoga maji ya ziwani, nikasema kwamba mradi ukimalizika Urambo tutaupeleka Kaliua kwa sababu nina matumaini mwaka huu Kaliua hawatafanya makosa ambayo wameyafanya kwa miaka mitano iliyopita na wakifanya makosa muwaambie shauri yao".

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava