Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kijana wa miaka 20 akiri kuwauwa watoto 10 Kenya 

Alhamisi , 15th Jul , 2021

Polisi nchini Kenya wanamshikilia Masten Wanjala (20) anayedaiwa kuuwa watoto kwa nyakati tofauti aliokuwa akiwakuta wakicheza na kuwahadaa kisha kuwauwa kwa kuwanyonga ama kuwafyonza damu na kisha miili yao kuitupa na kwamba alianza kutekekeleza unyama huo akiwa na umri wa miaka 16.

Masten Wanjala, Mtuhumiwa wa mauaji ya watoto nchini Kenya

Taarifa hiyo imechapishwa kwenye ukurasa wa Twitter wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini Kenya, na kueleza kuwa kijana huyo amewauwa watoto takribani 10 kufuatia mwendelezo wa matukio ya utekaji nyara na mauaji ya watoto nchini humo.

Mara baada ya kukamatwa mtuhumiwa huyo aliwaelekeza maafisa upelezi maeneo baadhi alikoitupa miili ya watoto aliowauwa, ambapo amekiri kwamba amekuwa akitumia kemikali inayofanana na unga kwa wathiriwa kwa kuwalaimisha wainywe ama kuwapulizia usoni kabla ya kuwaua kwa kuwanyonga au kuwafyonza damu kupitia mishipa.

Taarifa zimeongeza kuwa mtuhumiwa huyo amekuwa akiwauwa watoto wenye umri wa kati ya miaka 12 hadi 13, huku akihusishwa pia na matukio ya aina hiyo yaliyowahi kufanyika siku za nyuma

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava