Dkt Komba anachukua nafasi ya Bw. Oliver Mhaiki ambaye amemaliza muda wake.
Aidha Dkt Komba ni Profesa Mshiriki wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt. John Magufuli amemteua Dkt Willy Lazaro Mbunju Komba, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) kuanzia leo Mei 8, 2020.