Rais Mhe. Samia kuwaapisha viongozi wateule leo

Jumanne , 6th Apr , 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwaapisha viongozi mbalimbali ambao aliwateuwa Aprili 4, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan

Miongoni mwa walioteuliwa na Rais ni pamoja na makatibu wakuu wa wizara mbalimbali pamoja na wengine kuwahamisha au kuwapunguzia majukumu.

Wengine  ni wakuu wa idara, taasisi na mashirika mbalimbali, ambao pia aliwateuwa siku hiyo ya Aprili 4, 2021.

Zoezi la kuwaaoisha linaanza saa 4:00 asubuhi leo Aprili 5, 2021 Ikulu jijini Dar es salaam.

Chini ni orodha ya walioteuliwa.