2. Zulu Nkanyiso, Meneja Mwandamizi wa Mtambo wa uchenjuaji akijibu maswali kutoka kwa Gillian Doran, Afisa Mkuu wa Fedha wa AngloGold Ashanti, kuhusu muongozo wa GGML wa usimamizi na uhifadhi wa takasumu (TSF). Pia walikuwepo Gilbert Chamlonde, Meneja wa Uchimbaji wa kina kifupi juu ya ardhi (kushoto). Kutoka kulia kwenda kushoto: Yusuph Mhando, Meneja Mazingira; Ikingo Gombo, Meneja Mwandamizi – Masuala ya fedha & Mnyororo wa ugavi na Godvictor Lyimo, Meneja Mwandamizi - Utatuzi wa Migogoro ya Kodi.

29 Jan . 2024

Waziri Mkuu wa Italia, Giorgia Meloni akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba katika ukumbi wa mkutano jijini Roma, Italia. Waziri Makamba yupo Roma kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Nne wa Wakuu wa Nchi za Afrika na Italia ulioanza tarehe 28 - 29 Januari 2024.

29 Jan . 2024

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango

28 Jan . 2024