Jumapili , 27th Nov , 2022

Bodaboda wilayani Kiteto mkoani Manyara, wamelazimika kuacha kazi yao na kuanza kuuza petroli, baada ya mji huo kukosa nishati hiyo licha ya kuwepo kwa vituo vya mafuta ambavyo kwa sasa havina.

Bodaboda wakiuza petroli kwenye vidumu

Kwa sasa lita moja ya petroli inauzwa kati ya Tsh 4,000 mpaka 4,500, awali iliuzwa 2,912, mafuta hayo yanapatikana maeneo mengine kuja kuuzwa Kiteto.