Hi E-Newz My name is Juma Michael Mwanaharakati from Nzega,Tabora!Shout outs to,Joshua Turuka, Mabalah Nyembo, Bahati shaban, Boazi, Gregory na
Joseph, Together tuwakilishe pamoja kwa E-Newz ya EATV...Holla.
Mbuta Show
Mbuta Show, Hallow 5 hahaaaaaaaa noma sana Kigoma town hatari!! Chaooooow..
Musa Sikawa
Musa Sikawa pande za Arusha, Holla 5, chezea eNewz wewe, utapotea baharini.
Herry Mwaruka
Holaa eNewz, kwa jina naitwa Herry Mwaruka, napenda kuwapa salaam wanafunzi woote wa Mbeya Sec, nawatakia maandalizi mema ya mitiani, Ujumbe: waendelee kutazama enewz holla.