Hi eNews...its me O.t a.k.a Kobe kutoka pande za Singida-manyoni, nawapa hi wapenzi wote wa eNewz ndani ya tinga no. 1 kwa the youth.
Akwino Msombe
Akwino Msombe toka Uyole Mbeya Tanzania, halla five Petro Singaile wa Uyole Mbeya, Evance Haulewa na Joshua Turuka wa Mbinga, Petro Sanga na Victor Nyangalima wa Njombe. Tudumishe amani daima kwani ndio chachu ya maendeleo.
Mazmar na Caren
Hallow Wapenzi Watazamaji wa Enewz, Mimi Mazmar na Daughter Caren Tunawasalim Michelle, Ethan, Desmond, Djaneth, Paulus na Wakazi wa Tabata Kimanga, Holla 5