QUICK PROFILES

NICOLOUS MARTIN NDIRA
+

Nimezaliwa  mwaka 1990 wilaya ya MGUMU mkoani MARA

Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 7

Ninaishi MWENYEWE

Mtaani kwangu najulikana kwa MSANII WA KUCHEZA

Mimi nimesoma mpaka KIDATO CHA NNE

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) BIASHARA

ALFRDY FIDELISY FILBERTY
+

Nimezaliwa mwaka 1995 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM
Mimi ni mtoto wa  1 katika familia ya watoto 3 Nina kaka 2
Ninaishi  na MAMA na BABA
Mtaani kwangu najulikana kwa KIPAJI CHA KUCHECHEZA
Mimi nimesoma mpaka FORM 4
Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) SINA ZAIDI YA DANSI

HEMEDI KHALIFA
+

Nimezaliwa mwaka 1990 wilaya ya TEMEKE Mkoa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 6 nina kaka 2 na dada 2

Ninaishi MWENYEWE na RAFIKI

Mtaani kwangu najulikana kwa HEMEDI KHALIFA

Mimi nimesoma mapka FORM FOUR

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya KUdansi) BIASHARA

CHARLES EDWARD
+

Nimezaliwa mwaka 1994 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 2 

Ninaishi na MAMA na KAKA

Mtaani kwangu najulikana kwa CHAZI MAJOJO

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA 7

Shughuli zangu za kila siku ( zaidi ya Kudansi) ACROBATIC

 

YUSUPH SAIDY MACHELA
+

Nimezaliwa mwaka 1993 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAm

Mimi ni mtoto wa 4 katika familia ya watoto 5 nina kaka 1 na dada 3

Ninaishi  KAKA

Mtaani kwangu najulikana kwa RASS KIROBA

Mimi nimesoma mpaka DARASA 7

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi ) KAZI ZA NYUMBANI

ABUBAKARI HAMISI MKOPA
+

Nimezaliwa mwaka 1992 wilaya ya TEMEKE Mkoa DSM

Mimi ni mtoto wa 5 katika familia ya watoto 6 nina kaka 4

Ninaishi MWENYEWE

Mtaani kwangu najulikana kwa MSANII WA UCHEZAJI

Mimi nimesoma mpaka FORM 4

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) MPIRA