CHARLES EDWARD
Jina La Utani:
MAJOJO
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
MSIMAMIZI WA MAZOEZI YOTE

Nimezaliwa mwaka 1994 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 2 

Ninaishi na MAMA na KAKA

Mtaani kwangu najulikana kwa CHAZI MAJOJO

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA 7

Shughuli zangu za kila siku ( zaidi ya Kudansi) ACROBATIC

 

Mafanikio katika Fani: 
Kwanza nimesafirinchi mbalimbali na pia nimekutana na madancer wakubwa duniani, pia naishi kwangu kwa fani hii nina nina mkataba kila DECEMBER naenda UEROPEAN TOUR kwa ajili ya kutangaza Tanzania na Africa pia.
Year: