HEMEDI KHALIFA
Jina La Utani:
BLACK
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
KUTUNGA NYIMBO

Nimezaliwa mwaka 1990 wilaya ya TEMEKE Mkoa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 6 nina kaka 2 na dada 2

Ninaishi MWENYEWE na RAFIKI

Mtaani kwangu najulikana kwa HEMEDI KHALIFA

Mimi nimesoma mapka FORM FOUR

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya KUdansi) BIASHARA

Mafanikio katika Fani: 
mafanikio yangu katika fani ni kujiendeleza kimaisha na kujitegemea mwenyewe kupitia fani yangu
Year: