NICOLOUS MARTIN NDIRA
Jina La Utani:
NICKIE 4/20
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
DANCER

Nimezaliwa  mwaka 1990 wilaya ya MGUMU mkoani MARA

Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 7

Ninaishi MWENYEWE

Mtaani kwangu najulikana kwa MSANII WA KUCHEZA

Mimi nimesoma mpaka KIDATO CHA NNE

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) BIASHARA

Mafanikio katika Fani: 
Mafanikio yangu yangu katika fani ni kukua kwa kipaji changu uwezo wa kukutana na watu mbalimbali maarufu pia uwezo wa kuishi kwa kujitegemea nakuweza kufanya lile lisilowezekan.
Year: