YUSUPH SAIDY MACHELA
Jina La Utani:
RASS KIROBA
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
KUSHIRIKIANA KWA KILA JAMBO KATIKA KUNDI

Nimezaliwa mwaka 1993 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAm

Mimi ni mtoto wa 4 katika familia ya watoto 5 nina kaka 1 na dada 3

Ninaishi  KAKA

Mtaani kwangu najulikana kwa RASS KIROBA

Mimi nimesoma mpaka DARASA 7

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi ) KAZI ZA NYUMBANI

Mafanikio katika Fani: 
Najiendesha katika mahitaji madogo madogo katika fani yangu.
Year: