ABUBAKARI HAMISI MKOPA
Jina La Utani:
DAR SILVER
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
CHOREOGRAPHER

Nimezaliwa mwaka 1992 wilaya ya TEMEKE Mkoa DSM

Mimi ni mtoto wa 5 katika familia ya watoto 6 nina kaka 4

Ninaishi MWENYEWE

Mtaani kwangu najulikana kwa MSANII WA UCHEZAJI

Mimi nimesoma mpaka FORM 4

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) MPIRA

Mafanikio katika Fani: 
Mafanikio yangu katika sanaa cha kwanza naishi mwenyewe, pia nina vitega uchumi kupitia snaa pia nimekua CHOREOGRAPHER wakujitegemea
Year: