Cosmas Cheka akivishwa mkanda wa WBF alioutwa hivi karibuni.
Waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo Nape Nnauye akimkabidhi cheti bondia Francis Cheka.
Francis Cheka akiwa amebebwa na mashabiki mara baada ya kutangazwa mshindi.
Bondia Francis Cheka akiwa amebebwa juu juu mara baada ya kutangazwa mshindi na kutwaa mkanda wa mabara wa WBF.
Mabondia Thomas Mashali kushoto na Francis Cheka wakiwa tayari kwaaajili mpambano wao hapo jana.