Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania waishio Botswana baada ya kuhudhuria mkutano wa SADC mjini Gaborone Januari 18, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Ardhi , Miundombinu, Uchukuzi, na Utalii wa Japan, Bw. Takatoshi Nishiwaki
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na balozi wa Qatar nchini, Mhe. Abdallah Jassim al Maadadi ofisini kwake jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongea na Balozi wa Cuba nchini, Mhe. Jorge Luis Lopez Tormo,ofisini kwake jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu,Kassim Majliwa akizungumza na baadhi ya Viongozi wa Ruvuma katika ziara yake hiyo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungungua tawi la Benki ya Posta la Songea akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimwonyesha Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es salaam, Bw. Abel Mhanga (kulia) orodha ya makontena 2,431.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Mohammed Gharib Bilal.
Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu TAMISEMI, Mhe. Kassim Majaliwa.
Naibu waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu TAMISEMI, Kassim Majaliwa.