Makamu mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga katikati akizungumza jambo katika makao makuu ya klabu hiyo.

27 Jul . 2014

Kocha mkuu wa Simba Zdravko Logarusic ambaye atawasili wiki ijayo akitokea nchini kwao Croatia alikokua mapumzikoni.

5 Jul . 2014

Kamati ya uchaguzi ya klabu ya soka ya Simba.

23 Jun . 2014

Aliyekua mgombea urais wa klabu ya Simba Michael Wambura wakati huo akirudhisha fomu za kuwania nafasi hiyo.

20 Jun . 2014

Michael Wambura akiingia katika gari mara baada ya kuwasilisha rufaa yaek TFF.

19 Jun . 2014

Kamati ya uchaguzi ya klabu ya soka ya Simba ikiwa katika picha ya pamoja katika moja ya mikutano mbele ya waandishi wa habari.

16 Jun . 2014

Rais wa shirikisho la soka Tanzania TFF Jamal Malinzi akitangaza kusimamisha uchaguzi wa klabu ya Simba.

15 Jun . 2014

Michael Wambura kushoto akizungumza jambo katika moja ya mikutano yake.

29 May . 2014

Baadhi ya wanachama wa Simba wakiwa katika moja ya mikutano ya klabu hiyo

25 May . 2014
  •