Wananchi wakiwa kwenye foleni ya kuelekea kupiga kura katika chaguzi wa Serikali za Mitaa.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. David Felix Ntibenda
Waziri wa Kazi na Ajira Gaudencia Kabaka.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.Job Ndugai
Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha Daudi Felix Ntibenda
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dk. Richard Sezibera.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akimuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chadema Mh. Joshua Nassari.
Mwakilishi wa Shirika la Kazi Duniani nchini Tanzania (ILO) Bw. Alexio Musindo.
Moja ya chumba cha darasa kilichogeuzwa Maabara.
Kamishna wa Madini kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Paul Masanja.
Wawakilishi wa vijana kutoka Afrika mashariki pamoja na balozi wa vijana katika jumuiya ya Madola kwa pamoja wamekutaka katika Kituo cha Maendeleo ya Kimataifa cha MS TCDC-USA RIVER Arusha.