Simba yaachana na Fabrice Ngoma Kiungo Fabrice Ngoma ameiaga Simba baada ya kuitumikia kwa miaka miwili. Ngoma ameishukuru Klabu hiyo kwa kuwataja Abdallah Salim Try Again na Mohamed Dewji Mo kwa kumleta nyota huyo msimbazi miaka miwili iliyopita. Read more about Simba yaachana na Fabrice Ngoma