Wiz Khalifa jela inamhusu kwa miezi 9 Mahakama nchini Romania imeripotiwa kukataa rufaa ya rapper Wiz Khalifa dhidi ya hukumu yake ya miezi tisa jela kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya (Bangi). Read more about Wiz Khalifa jela inamhusu kwa miezi 9