Museveni awataka Waganda kuiunga mkono NRM
Museveni, 81, amesema utawala wake, ukifanya kazi bega kwa bega na vikosi vingine vya usaidizi kama vile wanamgambo wa Amuka, umeweza kuleta amani nchini Uganda, akisema kwamba hayuko katika uongozi kutafuta chochote ila mustakabali wa taifa la Uganda na Afrika.

