Hatma ya Crystal Palace kucheza UEFA haijafahamika

Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA limechelewesha uamuzi wa mustakabaili wa Crystal Palace kushiriki michuno ya Europa League msimu ujao baada ya Jumamosi ya Juni 28 kutangaza kuwa maamuzi hayo yatafanyika leo Juni 30.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS