Kutoka Uganda hadi kushiriki ligi ya NBA Marekani
Arthur Kaluma mwenye umri wa miaka 23 raia wa Marekani na Uganda mara baada ya kupata nafasi ya kuingia mkataba wa mwaka mmoja na vigogo wa mpira wa kikapu ukanda wa Magharibi nchini Marekani, Los Angeles LakerS, imemfanya kuwa mchezaji wa tatu mwenye asili ya Uganda kushiriki ligi hiyo.