Tupac Alikuwa mbele ya muda sana Mwezi kama huu, miaka 30 iliyopita, ulimwengu wa muziki ulishuhudia tukio kubwa la kihistoria — kuachiwa kwa album ya kipekee ya rap, All Eyez on Me kutoka kwa rapa nguli Tupac Shakur. Read more about Tupac Alikuwa mbele ya muda sana