Oa Mwanamke mwenye akili kwa faida yako baadae

Utafiti wa muda mrefu uliochapishwa kwenye jarida la ''The Journals of Gerontology'' nchini Marekani, umebaini kuwa wanaume waliooa wanawake wenye elimu kubwa wana uwezekano mkubwa wa kuwa na afya bora ya ubongo wanapozeeka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS