Polisi yaonya watu kujichukulia sheria mkononi Jeshi la polisi mkoani Tabora limewataka wakazi wa mkoa huo kuacha tabia iliyojengeka hivi karibuni ya kujichukulia sheria mkononi kwa kutowahukumu watuhumiwa wa makosa mbali mbali. Read more about Polisi yaonya watu kujichukulia sheria mkononi