ujio wa kocha Stars bado kizungumkuti

Shirikisho la soka nchini TFF limesema kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya taifa ya Tanzania taifa stars kutoka nje ya nchi anataraji kuwasili nchini wakati wowote kuanzia sasa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS