Kocha Ngorongoro atamba kuiduwaza Kenya ugenini

Timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes), imeondoka nchini alfajiri ya hii leo ,ikiwa na matumaini makubwa ya kupata ushindi kwenye mechi dhidi ya Kenya itakayochezwa Jumapili (Aprili 6) katika mji wa Machakos.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS