Wenye matatizo ya macho nchini Tanzania waongezeka
Takribani watanzania milioni 3.5 wanadaiwa kuwa na uhitaji wa kutumia miwani kutokana na matatizo ya macho huku zaidi ya watanzania milioni 3 wenye umri zaidi ya miaka 40 wakiwa na uhitaji wa uwezo wa kuona karibu.